Salamu Malkia

Sala ya kumwomba Bikira Maria, Mama mwenye huruma.

SALAMU MALKIA

Salamu Malkia, Mama mwenye huruma, uzima, tulizo, matumaini yetu, Salamu tunakusihi ugenini hapa sisi wana wa Eva. Tunakulilia, tukilalamika na kuhuzunika bondeni huku kwenye machozi.

Haya basi Mwombezi wetu, utuangalie kwa macho yako yenye huruma, na mwisho wa ugeni huu, utuonyeshe Yesu, Mzao Mbarikiwa wa tumbo lako.
Ee Mpole, ee Mwema, ee Mpendelevu, Bikira Maria.

mariamalkiabikira mariahuruma

← Back to Common Prayers